Lodrick Thomas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 1,339
- 2,431
Habari wanajamvi?
Ni katika jiji la St petersburg huko urusi ambapo team ya programmers wa kampuni ya Jetbrains walipojaribu kutumia mapungufu ya Java na kuanzisha programming language ambayo itapunguza mzigo kwa programmer, na hapa ndipo kotlin ilipozaliwa!!
Project ya Kotlin ilianza tokea 2011 ila mnamo mwezi huu March mwaka huu "a preview version of kotlin programming language" ilitolewa, mnamo mwaka huu April 25, kotlin programming language walileta version nyingine na ikijulikana kama "stable reliese" na mpaka stage hii kotlin ilikua inaoperate chini ya java japo ilikua haijapa support ya google kama "official android development language".
Haikuishia hapo May 17 mwaka huu(2017), kotlin programming language iliidhinishwa rasmi na kupewa support kama language inayoweza kutumiwa kwenye ku-develop software za android!!
Mwanzoni Java na C++ ndizo zili dominate katika uwanja wa android development, na java kuwa "the major programming language for android software development"!
Kiuhalisia kotlin programming language ina sifa karibu zote za Java kwa lugha rahisi tunaweza sema imetoka kwenye ubavu wa Java, ina run kwenye java vitual machine (JVM) kama ilivyo java, na inaweza kuoperate alongside with Java! na mwengine mengi!!
Synatx ya java!
Syntax ya Kotlin
Kama vile C++ ilivyozaliwa kutoka kwa C programming language hivi ndivyo Kotlin imezaliwa kutoka kwa Java! Je kotlin anaweza compete na mkongwe mwenye mabavu ya simba anayeitwa Java?
My take: Japo kotlin ni rahisi kujifunza kuliko java na unaweza andika alongside java, kiuhalisia ni ngumu java kupotezwa na kotlin as java ina large code base na software zaidi ya 90% za android zimeundwa kwa java! ni sawa mtu aseme C programming ipotee kisa kuna C++!! Nadhani July 27 mwaka huu java 9 itapotoka watakua wamejifunza kwa ujio wa kotlin na tutarajie mabadiliko mengi!!
Imeandikwa kwa msaada wa mtandao.