Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,456
Wakuu habarini za Weekend
Mimi ni mteja wa CRDB bank. Nina miliki card ya ATM ya account yangu. Mwaka jana nilijaza form kwa ajili ya kufumguliwa huduma ya malipo ya mtandaoni.
Baada ya kujaza na kufunguliwa niliconnect Visa card yangu na Paypal account kwa ajili ya kufanya manunuzi online. Nilifanikiwa kununua Domain name kwa bei ya 20$ kutoka kwenye campuni moja ya UK na account yangu ikawa haina pesa tena
Toka mwaka jana hadi leo sikuweka pesa kwenye Account yangu. Lakini cha kushangaza ninanuanua vitu kwa kutumia Paypal bila shida. Hadi sasa nimefanya miamala 9 inayo gharimu 120$
Sasa hata sielewi hawa jamaa wapo vipi na wanalipwaje pesa na paypal
Sasa hivi naogopa kabisa kuweka pesa kwenye account yangu kwa kuhofia kulipa madeni. Ila nina mpango wa kudisconnect VISA card yangu kwenye Paypal Acc kisha niifunge account ya paypal na kisha niiende benki nikazuie malipo ya mtandaoni kwa kadi yangu
Kutokana na Scenario iyo vipi una ushauri gani kwangu na nini naweza kufanya
Sababu napata wasiwasi na nahofia kuendelea kununua vitu online