Msaada wadau natumia samsung J2 ya 2015 hivi naweza ku update iweze kusupport 4G network

Hamna kitu kama hicho. 4g network adopter ni kifaa kabisa kipo kwenye circuit ya simu. So update ya software au OS haiwez fanya 4g iingie kweny simu yako. May be simu yako iwe na 4g lakin iwe na matatizo ya ki software na drivers hapo ukiupdate au upgrade Os unaweza pata iyo service otherwise no big NO
 
Back
Top Bottom