X-Codee
Member
- May 15, 2017
- 26
- 43
Nimekua natamani kujua facebook wanatumia tools gani kuchukua post heading na picha, pale tunaposhare link (tunapo copy link ya website au blog nakuiweka facebook)
Sisi tuna weka link tu, wao wanaleta picha, post heading na url ya website hapo ndo nataka jua wanafanyaje.
Napenda kujua maujanja gani wanatumia.
Angalia mfano hapa chini. Naomba technical answers plz au hata kama una mawazo ya tools au library inayoweza nisaidia fanya kitu kama hicho.