the paradox
Member
- Jan 2, 2017
- 14
- 16
Samahani wandugu, naomba msaada wa wapi zinapatikana hapa Tanzania, simu za Nokia android na bei zake. Wasalaam
Zipo though nyingi ni za mtumba; mi ninayo moja ni Nokia XLBado hazjatokA hzo vuta subra
Zitakuwa bei gani maana nimewamic sana nokia,nikiikumbuka nokia yangu 6030 ya kitambo hichoView attachment 512149 hii simu nahisi nitakuwa kati ya watu 10 wa mwanzo kuitumia hapa bongo naisubiri kwa hamu sana kulingana na HMD wenyewe wanadai kuanzia wiki 3 zijazo itakuwa iko world wide
bei yake itakuwa kuanzia laki 5-6Zitakuwa bei gani maana nimewamic sana nokia,nikiikumbuka nokia yangu 6030 ya kitambo hicho
WAZILETEE TU BEI SIO TATIZO!bei yake itakuwa kuanzia laki 5-6
Mbona zipo nyingi tu toka mwala 2014Bado hazjatokA hzo vuta subra