Vodacom Tanzania App

Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
11,047
15,449
Katika pitapita zangu google playstore nikakutana na app ya Vodacom
Nikaona ni vyema ni install ili nione kuna kipya gani kipo ndani. Baada ya kudownload na kuinstall nika launch app ili niicheki.
Suddenly nikakutana na ujumbe huu
1002cb84f1aaded55d962edf82631016.jpg

Baada ya kukutana na ujumbe huu sikushanga maana najua ni nini nilikifanya kwenye simu yangu

Baada ya hapo nikapata kujua kuwa security ya app ni kubwa sana na si rahisi kwa watu wajanja wajanja kufanya Taflani kwenye mfuu huu

Vipi maoni yako kuhusu hii
 
android sasa hivi ina api ambayo developers wanaweza tumia kuangalia kama simu imekuwa modified ama la,

ila unaweza kui bypass na xposed framework
 
android sasa hivi ina api ambayo developers wanaweza tumia kuangalia kama simu imekuwa modified ama la,

ila unaweza kui bypass na xposed framework
Hii ilikuwepo toka zamani, nakumbuka nilikuwa natengeneza app wakati ambao Ice cream Sandwich ndio ilikuwa latest version 4.0.4 na nilikuwa nafanya hio check, nafikiri hata kwa Gingerbread ilikuwepo...kwa mleta maada hiyo sio ishu kubwa kwa app ya Vodacom, issue ni jinsi wanavyotuma taarifa zako na kuruhusu ufanye miamala....hapo wakichemsha ndio wanaweza kupigwa
 
kwa modern apps security ipo katika remote server na transportation layer. Simu kwa modern apps ni kama UI layer tu. Ni kwa sababu ukiwa kama provider huna control na simu. Unless kuwasaidia wanaofanya rooting kama fashion na ku expose simu zao kwenye malicious apps ila sioni kama ni muhimu kuwa nayo hiyo check.

Kama alivyosema Kang hakuna sababu ya kuishuku, nami naongeza hakuna sababu ya kuiamini pia. Professionally huwezi kuhukumu ukiwa huna taarifa za kutosha kuhusu kitu husika.
 
halafu hii app ina masharti ili ifanye kazi inahitaji laini ya voda iwe kwenye SIM
 
Hii ilikuwepo toka zamani, nakumbuka nilikuwa natengeneza app wakati ambao Ice cream Sandwich ndio ilikuwa latest version 4.0.4 na nilikuwa nafanya hio check, nafikiri hata kwa Gingerbread ilikuwepo...kwa mleta maada hiyo sio ishu kubwa kwa app ya Vodacom, issue ni jinsi wanavyotuma taarifa zako na kuruhusu ufanye miamala....hapo wakichemsha ndio wanaweza kupigwa
Umeeleweka mkuu
 
mimi nadhani mtu hadi akaamua kuroot simu yake it means he/she fully understands the risk of what he/she is doing so sioni umuhimu wa hiyo check.
 
mimi simu yangu in laini mbili active ni ya tigo theni nyingine ni voda hivyo internet inatumia tigo ikasema tumia internet ya voda nikaitupilia mbali hiyo app
 
Back
Top Bottom