Asante mkuu kabla sijaanza hilonzoezi hapo juu je nahitaji kuicharge kwanza .aana ona kama haina charge...hebu angalia hiyo pichahapo step ya kwanza ni kujaribu kuihard reset, ku clear cache na dalvik ikiwezekana.
hakikisha imezima halafu bonyeza hizi button tatu kwa mpigo,
-cha kuwashia simu
-home button
-cha kuongezea sauti.
vibonyeze kwa pamoja hadi uone nembo ya samsung halafu achilia cha kuwashia simu huku unaendelea kushika home na cha kuongezea sauti.
atakuja robot wa android kisha utaingia recovery,
tumia cha kuongezea sauti na kupunguza kwenda juu na chini na cha kuwashia kuselect okay
-clear cache
-clear dalvik cache
-wipe device/factor reset
ukimaliza reboot device uone kama itafaa
Niichomeka kwenye charge charge hiyo picha inaflash kwa kuwaka na kuzima
odin mode ni cha kupunguzia sauti, recovery mode ni cha kuongezea sauti, maelezo hayo hayo ya juu. hakikisha ukizima simu unabonyeza home+power+volume up button na sio volume downChief-Mkwawa nimefuata maelekezo yako lakini sasa ime-stuck kwenye "Odin Mode" naomba msaada pls.