Msaada jinsi ya kuflash alcatel PIXI 4

Cooln

Member
Dec 18, 2016
13
3
Jamani naombaeni mnisaidie namna ya kuflash simu hii kwani nikibonyeza batan ya power na ya kupandishia sauti inanilete recovery na boot lakini nikibonyeza recovery inaandika no command msaada wenu jamanii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom