Manjeta
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 392
- 237
Salam wakuu..naombeni msaada simu yangu Huawei P6 imekufa baseband version inaandika 'UNKNOWN' na laini haisomi kabisa inaandika 'No SIM card'...hii ilitokea baada ya kidude cha kuwekea laini kuchomoka nikapeleka kwa fundi akaiungaanisha simu na kompyuta baada ya hapo ndo ikawa ivyo...msaada mwenye kujua nifanye nini ili ipone.