Tunahitaji Watu wa Kushirikiana Nao Kwenye Tovut Yetu

Tanzania Tech

JF-Expert Member
Dec 8, 2016
355
276
Habari wana JF, Ni siku nyingine tena ambayo natumaini itaisha salama, kwa siku ya leo ningependa kutoa Tangazo dogo. Tunahitaji watu 10 wa kujiunga na tovuti yetu ya Tanzania Tech kama wahariri wa makala mbalimbali za teknolojia.

Kupata maelezo zaidi Tumia Link Hapa kujiunga na Group Hili la WhatsApp

Asanteni Kwa Ushirikiano Wenu,
 
maelezo yapo tuu general, tungependa taarifa kama vile kigezo cha mhusika/elimu, malipo/bure n.k
 
Mkuu umeambiwa kwa "Kupata maelezo zaidi" jiunge kwenye group lao la WhatsApp nadhan ndo kuna kila taarifa humo....
 
Back
Top Bottom