Srebrina
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 956
- 422
habarini za asubui nilikuwa na shida moja ivi siwezi ku convert dynamic ip address nayopewa na isp kuwa static ip? na kama haiwezekani. nawezaje pata static ip address na bei inakuwaje? pia ni mitandao gani wanatoa izo huduma na malipo inakuwa kwa muda gani?