Nini maana ya neno hili??

comesucces

Senior Member
Feb 21, 2017
160
105
R.I.P

samahani jamani naomba msaada Wa tafsiri Wa neno hili maana ni Mara nyingi nimeliona likitumika misibani Na kama MTU kafariki , kupokea/kutoa taarifa za kifo R.I.P ni nini maana yake???

R.I.P. msaada tafadhari maana nimejikuta napenda kulitumia angali sijui tafsri yake
 
R.I.P kirefu chake ni Rest in peace...

Maana yake nadhani ni pumzika kwa amani..!!

Wajuvi wa mambo watarekebisha kama nimekosea...
 
Upo sahihi mkuu!!!

Ni utamaduni tu, kama sala fupi ya kumuagia marehemu!!!
 
Kuuliza sio ujinga, na umejuwa sasa, hata RSVP “Respondez, s'il vous plait," kiingereza "Please Respond" , ni neno la kifaransa " linatumika sana kwenye harusi au sherehe mbalimbali. Kwamba uwasiliane na mtu pale chini ya neno kwa swala lolote, kama huendi au kuuliza chochote.
 
au kwa utani "Rice and Stew Very Plenty":D:D:D:D
 
Kuuliza sio ujinga, na umejuwa sasa, hata RSVP “Respondez, s'il vous plait," kiingereza "Please Respond" , ni neno la kifaransa " linatumika sana kwenye harusi au sherehe mbalimbali. Kwamba uwasiliane na mtu pale chini ya neno kwa swala lolote, kama huendi au kuuliza chochote.
Sio kama hauendi tu hata kama unaenda! Inabidi utoe taarifa ili watu wajipange na idadi itakayofika.
"RSVP - Regrets only" ndo kama huendi tu.
 
Kweli kabisa, na hapo wabongo huwa hatujali tukipewa kadi ya mwaliko, ni lazima tuseme kama twaenda au hatuendi..
 
R.I.P

samahani jamani naomba msaada Wa tafsiri Wa neno hili maana ni Mara nyingi nimeliona likitumika misibani Na kama MTU kafariki , kupokea/kutoa taarifa za kifo R.I.P ni nini maana yake???

R.I.P. msaada tafadhari maana nimejikuta napenda kulitumia angali sijui tafsri yake
Retired

Ni Retired Inspector of Police
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom