Msaada kubadilisha processor

Ticktock dork

JF-Expert Member
Dec 23, 2015
466
305
nataka kubadilisha processor ya pc yang(dell inspiron 15) kutoka pentium (R) 1.9ghz kwende core i3 2.4ghz nataka kujua vitu gani muhimu vya kuangalia ili niupgrade
 
nipe full modell ya hio pentium.

nenda my computer then right click chagua properties utaona jina kamili la hio pentium
 
Mkuu ili kujua uwezo wa computer/laptop ni vitu gani uangalie? ili iwe fasta kufanya kazi hasa kwenye intanet
 
Mkuu ili kujua uwezo wa computer/laptop ni vitu gani uangalie? ili iwe fasta kufanya kazi hasa kwenye intanet
mkuu internet most of time ni modem ndio inayofanya uwe faster kwenye internet na bahati mbaya kwenye computer zetu modem hazipo ndani, unanunua na kupachika tu au kutumia wifi, hivyo kama unataka computer yenye speed kwenye internet nunua modem ya maana kama vile mobile router ya 150MBps kupanda yenye 4G.

pia uhakikishe na mtandao unaotumia una speed ya kutosha kwa eneo lako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom