Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Sina story nyingi suala langu ni kwamba niko mwanza ninahitaj mtu wa kuinstall php myadmin na apache kwenye laptop yangu mwenye uwezo anicheki 0759212578
0 Reactions
17 Replies
1K Views
,,,,,Yen mpaka nmechoka,,
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habarini, Nahitaji kufahamu kwa Dar ni eneo gani wanauza no-test pc, yaani computer ambazo ni mtumba na hazijajaribiwa vifaa vyake. Msaada wakuu anayefahamu zinapouzwa jijini Dar.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeandaa Video za namna ya kuunda tovuti. Video hizi ni kwa ajili ya yeyote mwenye kupenda kujifunza, Video hizi ni kwa ajili ya mwanafunzi aliyeko chuoni au hata yule aliye kwisha maliza chuo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeandaa Video za namna ya kuunda tovuti. Video hizi ni kwa ajili ya yeyote mwenye kupenda kujifunza, Video hizi ni kwa ajili ya mwanafunzi aliyeko chuoni au hata yule aliye kwisha maliza chuo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu Kile Kirusi bado kinapambana Na Mifumo weak ya IT Kampuni ya Usafirishaji ya British Airway wamelazimika Kufuta safari baada ya Mfumo wa IT kufeli katika Sehemu zote walizopo Duniani.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habar zenu wadau katka sekta ya technology...Baada ya kutamani kwa muda mref sna na mim device yangu kuwa rooted hatimae nlifankisha baada ya itel 1556 plus kuwa rooted ..... Kama tujuavyo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
salaaaaaam, naombeni msaada wenu jamani, nina laptop dell inspiron 15-3537 tatizo lake inastack sana na pointer ya mouse ina blink muda wote hata kama hamna program nyingi zinazorun kwa muda huo...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wadau natumia acer android 4.4, tatizo langu ni kwamba sio space ya kutosha kuinstall apps mpya japo nina sd card ya. 16gb but apps haziw installwd humo. Ktk kusearch wanasema cjui nifanye...
0 Reactions
3 Replies
709 Views
Habari wana JF, Najua ni muda sasa toka tulipo post makala ya mwisho humu lakini hiyo ni kwa muda tu sababu ya kuandaa tovuti nyingine bora ya habari na makala kwaajili yenu. Basi baada ya kusema...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Nahitaji Ku design kipeperushi ni program IPI ya adobe inaweza nisaidia kwa sehemu kubwa?
0 Reactions
0 Replies
350 Views
Kama naweza naomba kuelekezwa Ahsante
0 Reactions
2 Replies
985 Views
Habari, Developers. Natafuta mtu yoyote atakaye tengeneza php scripts ambayo itaweza kuhesabu maneno kwenye document ya ms word 2007 kwa kutumia php language. Chukua taadhali kuwa idadi ya maneno...
0 Reactions
1 Replies
906 Views
Tanzania Tunazalisha wastani wa Megawatts 1745MW Kiwango hicho sio toshelezi sana kwa Watumiaji ila at least kinatupa Umeme wa Kutosha kutumia Kwa baadhi ya Wateja Jirani zetu kenya wao wanafua...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Ni matumaini yangu mko vizuri wanajamii, kwa kifupi kuna sehemu kijijini maeneo yanayozunguka kuna mtandao wa internet wa isp mbalimbali lakini tatizo ni kuwa hapa kwenye eneo hili ambalo lipo...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Matumizi ya Teknolojia yameshika kasi sana katika ulimwengu huu na imekuwa ni chanzo cha kutatua baadhi ya changamoto mbali mbali zikiwemo kubwa na ndongo ambazo kimsingi zimekuwa zikizisumbua...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Imekua kawaida kulipia kifurushi kulipia ksumbuzi kila mwezi bila kuangalia uhalisia kuna kipindi kirefu unakua hauko maeneo ya nyumbani na wakati mwingine hakitazamwi kabisa na baada ya mwezi...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Fahamu yanayoendelea kwenye technology kwasasa na uvumbuzi wa google. Mungu atusaidi tufike huku siku moja.
3 Reactions
0 Replies
1K Views
natanguliza heshima kwenu wadau..ninaomba msaada wa keys za window 8.1 pro nilizokuwa nazo zimexpire
0 Reactions
2 Replies
820 Views
habari zenu wadau,ninaomba msaada mwenye kuzijua links za kuangalia mechi za mpira kwa kutumia mx player aniwekee hapa.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom