Bwasheemweusi
Member
- May 6, 2017
- 39
- 17
Ni matumaini yangu mko vizuri wanajamii, kwa kifupi kuna sehemu kijijini maeneo yanayozunguka kuna mtandao wa internet wa isp mbalimbali lakini tatizo ni kuwa hapa kwenye eneo hili ambalo lipo bondeni kidogo mtadao wa internet haupo kabisa japo signal za simu zipo na kwa mitandao mingine zinakuja na kupotea , kimsingi kuna uhitaji mkubwa wa interneti kwa ajili na majengo hayapo sehemu moja kuna jengo moja la ukubwa wa 40 x 20 m baada ya 100m kuna jingine ukubwa ni kama ekari moja baada ya 10m kuna lingine ukubwa ni robo eka baada ya 200m kuna jingine la 200m so ni option zipi zipo kwa ajili ya kuweka mtandao wa interneti ...utakuwa unajiuliza ni nini ni vituo vya watoto yatima na shule yao na hospitali na ofisi