dickchiller
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,847
- 3,149
Imekua kawaida kulipia kifurushi kulipia ksumbuzi kila mwezi bila kuangalia uhalisia kuna kipindi kirefu unakua hauko maeneo ya nyumbani na wakati mwingine hakitazamwi kabisa na baada ya mwezi unaitajika kulipa tena.
Msingi wa lalamiko langu ni kwa visumbuzi visiwe zinahesabu muda kwa maana mwezi unajulokana una siku kadhaa ikawa inahesabu mda kadiri unavyotizama tv kwa kupungunza sekundu, dakika na saa hadi mda huishie?
Tunaitaji maslahi yetu yatuzamwe sio kuchukua hela zetu hata kama hatuku tizama tunings
Nawasilisha