msaada kutumia MX player

Kabelwa

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
664
176
habari zenu wadau,ninaomba msaada mwenye kuzijua links za kuangalia mechi za mpira kwa kutumia mx player aniwekee hapa.
 
inabidi utafute link manual internet au playlist kisha unaicopy na kuja kuipaste kwenye mx player yako upande wa network stream, kwa kutest jaribu hata link ya azam tv
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom