IT system ya British Airways yapigwa na Wahuni Safari za Ndege zaaihirishwa

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Wakuu Kile Kirusi bado kinapambana Na Mifumo weak ya IT Kampuni ya Usafirishaji ya British Airway wamelazimika Kufuta safari baada ya Mfumo wa IT kufeli katika Sehemu zote walizopo Duniani.
 
Yani Mwingereza kabakiwa na Lugha tu huyo mwanamama wao PM Theresa may nae ni kutokwa mapovu tu, Ama kweli hakuna dola ambayo haitaporomoko leo Great britian hana lolote
 
Hacking hata USA Mara kibao wanakuwa hacked tena mpaka shirika la NASA limedukuliwa

Hata uwe mjanja vipi chances za kudukuliwa zipo,so usiwalaumu akina Theresa na sio jambo la kushangaza ukitaka usidukuliwe usitumie mitandao kabisa
 
Yeah Viongozi wakubwa Wanatumia hardcopy kwenye deal zao!
 
Back
Top Bottom