Marco Exavery
Member
- Aug 14, 2016
- 31
- 5
Wadau natumia acer android 4.4, tatizo langu ni kwamba sio space ya kutosha kuinstall apps mpya japo nina sd card ya. 16gb but apps haziw installwd humo. Ktk kusearch wanasema cjui nifanye rooting. Msaada wenu wadau nifanyaje ili niweze kuinstall apps ktk cmu yangu hasa ktk sd card. Asante