Nhitaji kuistall PHP MYADMIN NA APACHE PESA IPO

ukabu

JF-Expert Member
Dec 9, 2011
212
68
Sina story nyingi suala langu ni kwamba niko mwanza ninahitaj mtu wa kuinstall php myadmin na apache kwenye laptop yangu mwenye uwezo anicheki 0759212578
 
Dau kiasi gani. Kama linalipa niifanye muda huu. Ila unalipa kwanza kwa Mobile money halafu ndio tunafanya kazi. Siko mwanza ila nitaifanya nikiwa Dar
 
Sina story nyingi suala langu ni kwamba niko mwanza ninahitaj mtu wa kuinstall php myadmin na apache kwenye laptop yangu mwenye uwezo anicheki 0759212578

Download Wamp server utakuwa umemaliza vyote
wamp server ina apache+phpmyadmin
 
Sina story nyingi suala langu ni kwamba niko mwanza ninahitaj mtu wa kuinstall php myadmin na apache kwenye laptop yangu mwenye uwezo anicheki 0759212578
Mkuu download wap server au xampp server utakuwa umemaliza, ungekuwa dar ningeupukusa mpunga wako kiulaini
 
we IT gan unashindwa kutumia youtube kuinstall apache
we ni IT kweli
Mkuu download wap server au xampp server utakuwa umemaliza, ungekuwa dar ningeupukusa mpunga wako kiulaini
Niliwahi kukutana na mtu kama huyu na alikuwa ni IT ila kila alipojitahidi kufanya installation kuna baadhi ya port ambazo Apache server inatumia kwenye windows, windows yenyewe ilizitumia na kusababisha Apache server kutofanya kazi, ndo alikwamia hapo, kwa hiyo unaweza kuona kama mtu ni mzembe au kitu rahisi kumbe mtu kakwama beyond ujuzi wake. Mtu kama huyu huna haja ya kumhoji au kumdharau kama ni IT
 
On top of your great answer, huyu mtu anaweza kuwa mwanafunzi, au ndio anaanza au kingine kabisa. Ni mbaya kumrarua mtu kwa kitu ambacho hajajitambulisha nacho, hasa katika tasnia ya uhandisi.
 
iyo ya port sawa ila ku install dah sasa sijui kama code hatapiga
 
On top of your great answer, huyu mtu anaweza kuwa mwanafunzi, au ndio anaanza au kingine kabisa. Ni mbaya kumrarua mtu kwa kitu ambacho hajajitambulisha nacho, hasa katika tasnia ya uhandisi.
huyu mwaka wa tatu au diploma anandaa final project tu
 
Sina story nyingi suala langu ni kwamba niko mwanza ninahitaj mtu wa kuinstall php myadmin na apache kwenye laptop yangu mwenye uwezo anicheki 0759212578
rahisi sana kama unaweza kuwa na internet katika computer yako naweza fanya installation hata nikiwa huku kwangu, tutatumia teamviewer
ncheki 0683696728
 
Vipi ndugu umefanikiwa? kama bado nicheki mie nikusaidie bure kabisa yani ni 'free of charge'.
Karibu
 
Back
Top Bottom