PHP SCRIPTS FOR $30..

Investaa

JF-Expert Member
Jul 3, 2015
810
712
Habari, Developers. Natafuta mtu yoyote atakaye tengeneza php scripts ambayo itaweza kuhesabu maneno kwenye document ya ms word 2007 kwa kutumia php language.

Chukua taadhali kuwa idadi ya maneno ifanane na ms word.(Accuracy Like ms word does)

Fixed cost: $30.

Unichek ukiwa umeshafanya ili nitest na kukupa pesa immediately..

Asanteni

"Kipande cha code ya PHP not project/system"
 
Back
Top Bottom