Masaa mbele
Member
- Mar 14, 2017
- 45
- 15
,,,,,Yen mpaka nmechoka,,
Jaribu kati hizi option mbili
- Go to Settings -> Apps -> System Apps -> Setup Wizard -> Permission -> Enable Storage Permission
- Go to Settings -> Apps -> System Apps -> Setup Wizard -> Click Disable
Inarud tena vile vileTry to solve.
Nmereset ila bado tuu ivo ivoReset factory settings, utaanza upya kila kitu.
Nmereset ila bado tuu ivo ivo
Niko Arusha mkuukm uko dar ncheki inatakiwa ku-flashiwa yn ku-update firmware yake tatizo litakuwa solved 100%
Nmejalibu mkuu ndo kama unavyoona apo
Yen simu natumia kama kawa,,ila shida nikiclick button ile ya home ili apps zote zionekane ndo inatokea ivo,,,da! sjui ntakusadieje mkuu mana inatakiwa niwe nayo mkononi niifnyie software by PC tatizo lako ungelisaau kabisa.
Chukua tindo na nyundo then niambie ufanyeje?Nmereset ila bado tuu ivo ivo
mm nnasolve iyo bila shida na nna-upgrade iyo OS vzr kabisa then unatumia device yako bila tatizo lolote mkuu.What about permissions..? You need to grant permissions to all services listed under service wizard app
You don't have to flash, its a permission issue, mostly happens when you upgrade your OS from lollipop to Marshmallow ..
mm nnasolve iyo bila shida na nna-upgrade iyo OS vzr kabisa then unatumia device yako bila tatizo lolote mkuu.
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
AINA GANI YA SIMU?Niko Arusha mkuu
LENOVO VIBE k4AINA GANI YA SIMU?