Bonesmen
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 929
- 991
Tanzania Tunazalisha wastani wa Megawatts 1745MW Kiwango hicho sio toshelezi sana kwa Watumiaji ila at least kinatupa Umeme wa Kutosha kutumia Kwa baadhi ya Wateja Jirani zetu kenya wao wanafua Megawatts 2300MW, Umeme ni maendeleo, Penye umeme pana maendeleo, Umeme wa Uhakika nchini unapatikana Kupitia vyazo mbalimbali Kikubwa zaidi ni Hydroelectric Power station, Vyazo hivi ndio Reliable na Makini katika Kuhakikisha Taifa letu halipati tatizo la Umeme tuna Mabwawa (Dams) Sita ambayo yako Active yanayozalisha umeme, Hale 21 Mw, Kihansi 180MW, Kidatu 204MW,Nyumba ya mungu 8 MW, Mtera 80 MW,Pangani Falls 68 MW, na kuna mradi mkubwa wa ujenzi wa Hyro uko Ruvuma Kikongwe 300 MW hizo zote ni Hydroelectric Power station
Sambamba na Hizi Hyro kuna Thermal Power station ambazo hutumia Fossils fuel kama Gas,Diesel kufua Umeme Hizi nazo ni PAP diesel 100 MW, Ubungo 1 MW 100, Ubungo 2 MW 120, Kinyerezi 1 MW 150, Nyakato 60, Dangote 75MW, Arusha 50MW, Somaga 7.5MW, Songas 180MW, Dodoma 55MW, Mtwara 18MW, Tegeta 45MW ila pia kuna Project Ya wind Power station inakuja singida hii itatupaa MW 100 Nimeanza kwa takwimu hizo nakaribisha wanatekenoljia hobbyist kwa ajiri ya Kufafanua zaidi Technical Kuanzia Power Generation, Transmission na Distribution kwa Consumers au customers Najua jamvini kuna Watu wa kila namna hapa Artisan, Technians na Engineers Uzi huu tuufanye useful kwa Ajili ya kutoa msaada na kushauriana Kama Mafundi ili Kuifanya nchi yetu isongee Cc TANESCO