Web Developer Pacoster
New Member
- Jan 18, 2016
- 4
- 2
Nimeandaa Video za namna ya kuunda tovuti. Video hizi ni kwa ajili ya yeyote mwenye kupenda kujifunza, Video hizi ni kwa ajili ya mwanafunzi aliyeko chuoni au hata yule aliye kwisha maliza chuo.
Video hizi ni kwa ajili hata ya yule amabaye hakufaulu kwenda chuoni pia zina mfaa.
Masomo haya yameandaliwa kwa lugha ya kiswahili mwanzo hadi mwisho.
Ingia kwa youtube chanel yangu sasa na u subscribe ili uweze kuzipta kila nikiweka video mpya.
Paulo Mushi