Unamaanisha pc mpya au??
ahaa vipi Kariakoo ulijaribu kwendaHapana namaanisha computer mtumba, ambazo hazijaribishwa kama zinawaka ama haziwaki. Huwa zinauzwa kwa jumla(kuanzia 5 na kuendelea). Yaani zikiwa nzima au sio nzima mnunuaji utajijua mwenyewe huwa hautestiwi hizi.
hujajaribu kuwaulizia labda utazipatia wapi wakakuelekezaSikuzipata.