Nimekuwa nikihangaika sana nikinunua simu na charger yake hasa hizi mnazoita smatphone ndo napeta kitu kinacharge 30 min uko 100% ,sasa nikipoteza tuuu ukilaza wangu unaanza ninyanyasa mwanzo...
Hi all
Naleta kwenu hili swali ambalo nimekuawa nikisikia minogh'ono wakati niko mdogo kuwa
Eti kinyesi cha binadamu kina uwezo wa kizalisha nishati ya umeme je wana JF
Kuna uwezekano umeme huo...
Nimekua nikitumia simu yangu kwa muda wa miezi 11 sasa sija encounter any issue...Ila leo suddenly nimepata message toka Airtel kwamba simu yangu sio halali itafungwa within two days...Nimejaribu...
Soon, iPhones will block texts while driving
by Peter Valdes-Dapena and Heather Kelly @CNNMoney June 6, 2017: 4:01 PM ET
Soon, Apple will introduce a new iPhone feature that will do away...
wakuu
natumia laptop aina ya hp elitebook 6930p os ni win 8.1
hivi majuzi laptop yangu imekuwa inagoma kuwaka kwa kupitia power button lakini ukibofya info button inawaka na inaonyesha message...
Habari Wana JF
Katika Kujifunza Awali Ya Java Programming Nimeipenda Sana Ila Nakabiliwa Na Mapungufu Wengi Sababu Nikakosa Tutor Ambaye Atanielekeza Vyema.
Napata Shida Na Concept Muhimu Pia Na...
Wanajukwaa habari za muda huu. baada ya kuhangaika kwa muda na wezi wa kuku kwenye mabanda yangu, nikakutana na hiki kitu youtube. binafsi nafikiri kitakuwa cha msaada sana kama kitafanikiwa. vipi...
Wadau! PC yangu battery haipokei moto, yaan umeme ukikata na PC inazima utadhan desktop.
Nashindwa kuelewa ni battery aw ni tatizo jengine tu tofauti. Kwa nnavofaham battery ikifa huwa kuna...
habari wadau natumia jelly bean version 4.2 ni rooted nataka ni upgrade kwenda version 4.4 kitkat ama v5 lollipop ama hata v6 mashamelow ikiwezelana msaada pls
Wakuu naomba kuuliza inawezekana nikarekodi video screenyangu ya simu? namaanisha naangalia event live online kisha nairekodi wakati nikiwa naiangalia, inawezekana? na ni program gani au simu ya...
Ningependa ku share game fulani nilikuwa nikitengeneza, japo bado haijakmilika nina mpango wa kuiendeleza with time. kwa wale ambao wanaona wanaweza kusaidia development nawakaribisha sana.
Here...
Laptop yangu Dell XPS L502 X, Core i7
Inaniletea message kuwa Hard Disk (Toshiba) ina matatizo. Na imekuwa slow sana wakati wa kuiwasha na kuitumia. Ninatafuta technician ataerekebisha haya:
-...