inategemea na unachofanya, we matumizi yako ni yapi?Nashukuru chief.Hivi hizi lumia vipi utendaji wake ukilinganisha android au iphone. Asante
tatizo hio budget huwezi pata android nzuri, ila kwa matumizi yako unatakiwa upate simu ya android yenye display nzuri.Ku browser internet, kuangalia movie kwenye game sio mpenzi.Sana sana matumizi mengi ya internet