Msaada: Nimeibiwa simu LG G5

Msaada: Nimeibiwa simu LG G5

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,582
Reaction score
14,345
jaman naoomba kujua namna ya kufanya kwani jana jion nimeibiwa sim niliweka chaji sehem.
simu ni LG G5 ilikuw na line ya voda 076672326 ambayo mpaka mda huu inapatikana ila haipokelewi inaonekana kutokana na G5 ilivyo aliyeiba ameshidwa kuizima
 
Katoa taarifa Polisi wanakitengo cha kufuatilia mambo Kama hayo
 
jaman naoomba kujua namna ya kufanya kwani jana jion nimeibiwa sim niliweka chaji sehem.
simu ni LG G5 ilikuw na line ya voda 076672326 ambayo mpaka mda huu inapatikana ila haipokelewi inaonekana kutokana na G5 ilivyo aliyeiba ameshidwa kuizima
3896b8ac2b82651eead922d734df5131.jpg

Hyo hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom