Jinsi ya kutengeneza android-App bila kompyuta

kapesly

Senior Member
Jan 1, 2017
163
108
Jamani naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kutengeneza android app(app) bila kutumia kompyuta, yaani kwa kutumia android yenyewe,mtandao,kwa apps.... Nk anisaidie plz
 
Kuna thread ya hii project ilishawahi kujadiliwa miezi kadhaa imepita, humu humu JF hebu itafute utaipata....
 
Broo labda cjaelewa au vp
Kama unataka tumia programming language km js java android au km unataka site ambayo unaweza kutengeneza app ya android bila coding knowledge.

Anyway nenda appyet
Apgyser

etc utatengeneza tu hiyo android app hata kwa smartphone
Nb fuata maelezo ya namna ya kutengeneza app kabla ya kuanza kutengeneza
 
Huwezi.

Tafuta hela tu ununue computer, zipo computer zinauzwa bei sawa na smartphone.
 
Jamani naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kutengeneza android app(app) bila kutumia kompyuta, yaani kwa kutumia android yenyewe,mtandao,kwa apps.... Nk anisaidie plz
hapo kwenye hizo website utaweza kutengeneza app kwa ajili ya android,iphone,blackberry na windows phone na utaelekezwa jinsi ya kuzipublish kwenye app market kama vile playstore na amazon i recommend hiyo apppie site ya tatu sababu nishawahi kuitumia
Ila kama uko serious na una project ya maana jaribu kuwapa kazi wabongo wenzetu na wao wapate mpunga huo
Apps Bar | Create An App For Free

FREE App Creator. Create Apps for Android. No Coding Required.

Small business app to education app, pick a mobile template & design an app
 
Back
Top Bottom