Amani kwenu!
Natumia kisimbuzi cha StarTimes, hiki hakina channel ya Emmanuel TV. Nahitaji sana kuwa na hiyo channel. Nimesikia kuwa kuna watu wanaweza kuongeza channel kwenye kisimbuzi hiki cha StarTimes (nimeona kimoja). Je, ni kitu ambacho naweza kufanya mwenyewe?
Naomba mnifahamishe.
Salamu kutoka Arusha!