Unlocking devices

seanherms

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
546
428
Natoa network lock za mitandao ya nje kwa simu aina nyingi,kuna zile simu ambazo hazisomi mitandao ya Tanzania zinaingia kwenye hili kundi,
Naunlock icloud clean devices(only clean devices)hapa kuna huduma za haraka na zile zinazochukua muda kiasi,kwa huduma za haraka ni vyema kwa wenye iphone 7 maana ndio itakayoendana na gharama za huduma.
Pia nacheck network iliyolock simu ni network gani.
Bei zinatofautiana kutokana na huduma kwa atakayehitaji anaweza kunifuata PM.
Naweza kukutana na mtu kama yupo karibu mimi nipo DSM.
Karibuni.
 
karibuni
 

Attachments

  • TANGAZO.jpg
    TANGAZO.jpg
    245.3 KB · Views: 36
Back
Top Bottom