A akamula Member Joined Sep 12, 2014 Posts 56 Reaction score 31 Jun 14, 2017 #1 Naomba msaada hapa jamvini kwa anayefahamu jinsi ya kurudisha files na folders kutoka kwenye external ambayo imezima ghafla
Naomba msaada hapa jamvini kwa anayefahamu jinsi ya kurudisha files na folders kutoka kwenye external ambayo imezima ghafla
Erickford4 JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 1,133 Reaction score 1,099 Jun 14, 2017 #2 mambo ya IT hayo... ngoja wataalamu waje
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,287 Reaction score 72,516 Jun 14, 2017 #3 Tafuta wataalamu kwenye kampuni za kurecover data
A akamula Member Joined Sep 12, 2014 Posts 56 Reaction score 31 Jun 14, 2017 Thread starter #4 Sawa mkuu
ashomile JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 2,936 Reaction score 3,049 Jun 17, 2017 #5 TUMIA MIN TOOLS FOR DATA RECOVERY INA KEYS ZAKE BUT UKISHINDWA NITAFUTE WHATSSAP NIKUPE HIYO SOFTWARE PAMOJA NA KEYS ZAKE CONTACTS ; 0629166514
TUMIA MIN TOOLS FOR DATA RECOVERY INA KEYS ZAKE BUT UKISHINDWA NITAFUTE WHATSSAP NIKUPE HIYO SOFTWARE PAMOJA NA KEYS ZAKE CONTACTS ; 0629166514