Hii kampuni ipo bongo inatengeneza App kwa corporates $ 2,000 kwa raia wa kawaida $ 1,000 wachek
info@trulovmedia.com wapo fair sanaaaa na ni washkaj wadogo tu. Unapata App yoyote unayotaka hadi clones.
Faida ni kama zifuatazo;
1. Inaweza ikapendwa na watu so wakapanda dau ukaiuza pesa yoyote unayotaka the more users the more gharama yake.
2. Kama ni ya mfano wa kupatana unaweza pata hela kwa kuwacharge watumiaji wako kila mwezi labda pesa flan.(on registration and subscription fee).
3. Njia nyingine common ni through admob yani ni yale matangazo yanatokea kwa chini katika Apps nyingi na mengine yana Pop up. Yanalipa saaannaaaaa kama unakuwa na user wengi. Hesabu yake ni ukiwa na Downloads 10,000 basi kila mwezi unaingiza wastani wa 500,000 imagine imebamba una downloads 100,000 maana yake average ya million 5 revenue monthly.
4. Through sponsorship, wadau watakufata mfano coca au voda watataka kuweka matangazo yao hapa ni makubaliano tu unaweza ukavuta pesa mingi pia.
5.Ya mwisho ni InApp purchase maana yake unakua na App flan inapatikana bure tu lakini ukiitumia kuna content huwezi access hadi ulipie mfano app ya wema sepetu na games maarufu kama candy crush saga inakutaka ununue michezo (life) kuendelea kucheza au kutumia. App zingine hapa moja kwa moja inakua inauzwa so mtu akinunua unapata mpunga.
For more details nichek nna blue prints za kutosha za jinsi ya kupiga hela kwa App. Mi zangu zipo jikoni nazisuka now zitakua released soon ambapo ndani ya mwaka natarajia kupiga kama milion 100+
Midnight now nimetype mtoni but i hope utapata tips kidogo. Karibu