Msaada wa kiufundi ndugu wa jf

Mashaka10

Member
Jun 2, 2017
12
4
Tecno m5 inashindwa kumaliza booting, nimefanya hard reset mara nyingi bila mafanikio........ msaada kwa anayejua njia mbadala
 
hard reset umewipe data tupu au data na cache? kama hujawipe cache jaribu kurudi wipe cache na dalvik cache (kama ipo).

alternative itabidi uiflash
 
Back
Top Bottom