fredj2
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 235
- 93
Wakuu heshima kwenu..naitaji msaada wa kujifunza software za simu..mf. miracle box<aladdin box>sp flash tool<najinsi ya kutumia roms vizuri..hali ni ngumu nataka nijiajiari..idea ninayo sasa ni jinsi ya kukamilisha..kama kuna mtua anaweza nisaidia kunielekeza walau siku moja inatosha...msaada wenu wakuu.