ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,445
- 2,558
Wakuu habari za mchana samahani kwa kuwasumbua ni hivi katika pilikapilika za eid mosi mnamo jumatatu nimeangusha simu yangu samsung galaxy s6edge plus.Nataka nijue je kuna uwezekano wa kuipata manake hata sijui sina hata miezi sita tangu ninunue.