Kupunguza speed-rpm ya mota ambayo ni single phase

infomania

JF-Expert Member
Jul 29, 2014
244
225
Habari wanajamiiforums nina mota ambaye inatumika kwemye single phase na ina rpm 2800 (mizunguko 2800 kwa dakika).

Nataka niitumie mota hiyo kwenye mashine ambayo yenyewe inahitaji mota iwe na angalau mizunguko 300 mpaka 400 kwa dakika.

Swali langu hapa ni; je nifanye nini kwenye mota hii iliniweze kupunguza mizunguko hii?
 
fr93

JF-Expert Member
May 26, 2017
213
250
Ongeza pul yenye radius kubwa upande wa machine na punguza pul radius upande wa mota
 
infomania

JF-Expert Member
Jul 29, 2014
244
225
Ongeza pul yenye radius kubwa upande wa machine na punguza pul radius upande wa mota
Okay kupata hizo pulley kwa Tz ni taabu tupu nilifikiri kuna namna kama ambavyo feni unaweza weka namba 1,2,3......
 
johnhance

JF-Expert Member
Jul 9, 2016
1,815
2,000
tatizo mkuu ni kupata hizo pulley mi nilifikiri kuna namna ya kufanya kama kwenye feni kuna namba 1,2,3....
yaani unazungumzia Reduced voltage method kwa kutumia inductor au capacitor connected in Series
kwa iyo 400rpm ni mbali sana voltage itadrop mno, wawezaikaanga mota yetu (yes because of excessive low voltage)
 
johnhance

JF-Expert Member
Jul 9, 2016
1,815
2,000
kuna izi VFD drives (zinauzwa za capacities tofauti, eg:ABB drive) una adjust supply-frequency unapata output rpm unayotaka
 
Daniel Schoter

Senior Member
Jan 12, 2017
114
225
Tumia Voltage Frequency Drive VFD hii ita vary frequency ya supply na Kukupa RPM unayotaka, Hio ya kureduce volts Ita kwa vile ni gap kubwa ita rise current mno na kuunguza winding
 
infomania

JF-Expert Member
Jul 29, 2014
244
225
Tumia Voltage Frequency Drive VFD hii ita vary frequency ya supply na Kukupa RPM unayotaka, Hio ya kureduce volts Ita kwa vile ni gap kubwa ita rise current mno na kuunguza winding
mkuu hizi nitazipata wapi kwa hapa Dar na bei zake ziko vipi ila kuna kitu kinanichanganya kuna mahali nilisoma nikakuta kuwa VFD inafanya kazi ya kubadili single phase kwenda three phase hivyo basi inabidi mota nayo iwe ya three phase na vilevile inabidi kiongezeke kifaa kingine cha kumfanya mtumiaji wa mota aweke speed aitakayo. Cheki picha hapo chini

v.jpg

lakini nimeona kuna hiki kifaa nacho kinaitwa Electronic Tool AC Motor Speed Controller Variable Frequency je ndicho unachomaanisha?A1.jpg
 
infomania

JF-Expert Member
Jul 29, 2014
244
225
mkuu hizi nitazipata wapi kwa hapa Dar na bei zake ziko vipi ila kuna kitu kinanichanganya kuna mahali nilisoma nikakuta kuwa VFD inafanya kazi ya kubadili single phase kwenda three phase hivyo basi inabidi mota nayo iwe ya three phase na vilevile inabidi kiongezeke kifaa kingine cha kumfanya mtumiaji wa mota aweke speed aitakayo. Cheki picha hapo chini

v-jpg.531604

lakini nimeona kuna hiki kifaa nacho kinaitwa Electronic Tool AC Motor Speed Controller Variable Frequency je ndicho unachomaanisha?a1-jpg.531599

kuna izi VFD drives (zinauzwa za capacities tofauti, eg:ABB drive) una adjust supply-frequency unapata output rpm unayotaka
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom