Wataalamu wa IT nisaidieni namna ya kuactivate window?

mind ur bussness

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
1,059
2,000
daah mkuu hata mm hili tatizo nnalo kweny pc yangu window yake ni 8.1pro, ila inafanya kazi fresh japo keybod ile sehem ya kusogezea kasa/mshale inashindwa ku enter...

Mwenye uelewa nalo pls tusaidiane
 
Tajirimsomi

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
4,606

Mi yangu hata software zinagoma kuingia
 
Tajirimsomi

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
4,606
2,000
Msaada wa haraka tafadhali afu anayejua namna ya kurudisha files zilizopotea anisaidie pia
 
Williedm

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
503
225
pitia hii Youtube kus link ya pili ya google download hiyo tool kisha fuata maelekezo
 
Williedm

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
503
225
daah mkuu hata mm hili tatizo nnalo kweny pc yangu window yake ni 8.1pro, ila inafanya kazi fresh japo keybod ile sehem ya kusogezea kasa/mshale inashindwa ku enter...

Mwenye uelewa nalo pls tusaidiane
so hapo tatzo ni keyboard au???
jarbu kubadili setting kwanza uone
 
Times9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
1,106
2,000
Tafuta program ya "KMspico windows activitor" google hasa hasa kwenye sites za torrents ndo utaipata.... Afu izi threads za kuactivate windows 10 zipo humu humu nyingi tu search utazpata....
 
Times9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
1,106
2,000
daah mkuu hata mm hili tatizo nnalo kweny pc yangu window yake ni 8.1pro, ila inafanya kazi fresh japo keybod ile sehem ya kusogezea kasa/mshale inashindwa ku enter...

Mwenye uelewa nalo pls tusaidiane
Badili windows mkuu nshanikuta msala kama wako nilihangaika na kufanya settings nying sana mpaka nikaja kuibua na matatizo mengne kibao tu ndo nikaweka windows mpya tena ndo mambo yakakaa gud....
 
Khan

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
6,105
2,000
Hio ni Activator ya Both window na Office! Just Extarct hiyo winrar file to Your Desktop Then Double Click to open! Afu uclick sehem ya window itakyojitokeza kwenyee iyo KMS activator na kama Office Nayo Haijaactivetiwa unaclick icon yake iweke Tick then Proceed utaona tiyari zipo Activated!

Note: Hii sio Biashara Ndio Maana ata nami sijaifanyia Biashara Kwenu, Kama Kuna Mtu ana Uhitaji Nayo Msaidie Bure Maana Nanyi Siku Mkiwa na shida Mtasaidiwa Kwa Kadri Nyinyi Mlivyosaidia

TheMason
 
Attachments

kaburungu

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
2,321
2,000
Tafuta program ya "KMspico windows activitor" google hasa hasa kwenye sites za torrents ndo utaipata.... Afu izi threads za kuactivate windows 10 zipo humu humu nyingi tu search utazpata....
Uko sahihi mkuu, nimetumia hiyo program ku activate windows10, it works 100%
 
nazahati

Member
Jan 8, 2017
83
125
Badili windows mkuu nshanikuta msala kama wako nilihangaika na kufanya settings nying sana mpaka nikaja kuibua na matatizo mengne kibao tu ndo nikaweka windows mpya tena ndo mambo yakakaa gud....
True it workes.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom