Msaada: Simu yangu haikai na chaji

zebigmaster

Member
Dec 22, 2015
39
95
Jaman nina simu tecno j8 mwanzo ilikua inakaa na chaj sana sasaiv kwa siku nachaaj ata mara 3 shida ni kwamba betri ake imetengenezewa kwa ndani jeh naweza kuibadl kuweka mpya <br />.
 
Benny Haraba

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
5,293
2,000
Jaman nina simu tecno j8 mwanzo ilikua inakaa na chaj sana sasaiv kwa siku nachaaj ata mara 3 shida ni kwamba betri ake imetengenezewa kwa ndani jeh naweza kuibadl kuweka mpya <br />.
zinafunguka ila kabla huja badilsha betri inatakiwa ujue chanzo viko vyanzo viwili cha kwanza ni aina ya Charger unayo tumia pili ni jinsi unavyo charge hapo namaanisha muda unao tumika kulicharge betri wengi hatuna nidhamu ya kuzi charge simu zetu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom