Nawezaje kuangalia ZBC 2 kwenye simu au tablet yangu?

KUCH KUCH

JF-Expert Member
Dec 18, 2015
1,327
966
Wanajamvi habari,
Naomba kufafamishwa kuwa naweza kuangalia channel hii ya ZBC 2 katika Tablet (Cm) yangu?
Kama ndivyo, nifanyeje?
ASANTENI.
 
Back
Top Bottom