Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu kama kichwa cha Uzi unavyoeleza nisaidieni nisije jutia uwamuzi wangu Wakuu Maana simu izi Daaah.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa yeyote mwenye ujuzi juu ya hii app aliyoigundua mtanzania mwenzetu inayoitwa TELBOX TANZANIA kwa ajili ya kuhang taarifa za simu nyingine. Naomba kufajamishwa kwa wale tulioko nje ya nchi na...
0 Reactions
29 Replies
9K Views
Hapa utapata namna ya kujua... 1.How to Place Facebook Chat On Firefox Sidebar 2.How to Download Facebook Photo Albums 3.How to Share Flickr Photos to Facebook 4.How to Update Facebook without...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nahitaji box (octopus)Iwe ambayo in new model .kwa kwauzaji naomba tuwasiliane
0 Reactions
0 Replies
816 Views
Wakuu habari za siku nyingi? Naomba kama kuna mtu anaeuza PC Monitor nzuri kuanzia 23" hadi 27" anijuze. Nipo kwenye project moja ya custom PC Build, parts zote zimefika ila monitor nimeamua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Msaada mwenye kujua bei ya simu sumsung s6 ya 2015 dukani ni bei gani. Msaada wa haraka
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nina tecno N2 ambayo ipo locked kwa mtandao wa Tigo, naomba msaada wenu wa jinsi ya kuunlock
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Amani kwenu wadau.. Wadau nahitaji kufahamu au kujua jinsi ya ku upload video youtube yan kuwa na channel au account yng ambayo ntakuwa naweka videos zangu yan kujisajil pia na vigezo vyake...
4 Reactions
54 Replies
12K Views
Nisaidieni wadau juu ya mada tajwa hapo juu Nimejaribu kubadili adaptor lakini tatizo bado lipo na haiwaki mpka uchomeke adaptor Natanguliza shukran kwenu wanajf wote
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu! Nimenunua simu aina ya Infinix zero 4 plus. Nimeweka line na kuiwasha cha ajabu nakuta storage status inasomeka 16.56 out of 32 GB, nimedownload apps mbili tu inaniletea alert...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba mtu aweze kunisaidia nipate firmware ya Sony xperia Lt26ii na jinsi ya kuinstall. Asanteni.
0 Reactions
1 Replies
691 Views
wakuu saluti.... naomba kujuzwa namna ya kuset sim ambayo kila nikipigiwa inapokea yenyewe.. natanguliza shukran
0 Reactions
5 Replies
2K Views
salama wakuu...? Awali ya yote ningepekenda kujuzwa ni app gani naweza itumia iniwezeshe kusoma vitabu/Document za kiingereza kwa lugha ya kiswahili. anayejua ni app gani Tafadhali nisaidieni...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Sim yangu aina ya Tecn-w3 imejifunga simcard no 1,nimejaribu kuingia kila eneo kwenye settings lakini nimeshindwa kugundua tatizo ni nini,airplane, mode zimefungwa,lakn line 1 haisomi,naombeni msaada
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Jaman nina simu tecno j8 mwanzo ilikua inakaa na chaj sana sasaiv kwa siku nachaaj ata mara 3 shida ni kwamba betri ake imetengenezewa kwa ndani jeh naweza kuibadl kuweka mpya <br />.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Naomba kufahamishwa jinsi ya kutambua version kwenye computer na jinsi ya ku update version. Pili jinsi ya ku install Ward na VLC player Thank guys
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanajamvi habari, Naomba kufafamishwa kuwa naweza kuangalia channel hii ya ZBC 2 katika Tablet (Cm) yangu? Kama ndivyo, nifanyeje? ASANTENI.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu, nina kimeo changu hapa tecno-L8 nahitaji kukifanya rooting. Naomba wa namna ya Kufanya
0 Reactions
0 Replies
620 Views
Back
Top Bottom