Zambotti
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,983
- 3,670
Wakuu heshima kwenu.
Nina sumsung galaxy note 3, SM-N900S, ni wiki ya pili sasa imekata mtandao na sababu kuu ni kutokusoma kwa imei namba maana inaandika 00000.
Nimetazama video nyingi mtandaoni na kusoma baadhi ya maandishi jinsi ya kurecover hili tatizo lakini naona nshashindwa.
Tafadhali kwa yeyeto mwenye ujuzi na haya mambo naomba tusaidiane wandugu.
Natanguliza shukrani!