Msaada kutumia flash kwenye king'amuzi cha startimes

kuruta

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
261
Reaction score
103
wakubwa msaada natumia king'amuzi cha dish star times lakini nimejalibu kutumia flash nimeshindwa kujua jinsi ya kufanya maana sehemu ya flash ipo lakini kwenye remote hakuna alama ya USB
 
Nimeomba msaada humu naona kimya kabisa sitaki kuamini kwamba hakuna kabisa anayejua hiikitu kwenye jukwaa hili
 
Ingia menu then USB function, Ila inasapoti MPs tu siyo videos!
 
Back
Top Bottom