Msaada wenu wadau

Msaada wenu wadau

Racso G

Member
Joined
Jun 19, 2017
Posts
57
Reaction score
29
Naomba mnisaidie kujua namna ya kuconvert mp4 to MPEG kwa kutumia android phone kama inawezekana
 
Naomba mnisaidie kujua namna ya kuconvert mp4 to MPEG kwa kutumia android phone kama inawezekana
Itakusumbua sanaaaaaa.
Pia MPEG zipo na version kama mpeg1 mpeg 2 mpeg 4
Sasa sijui unataka ipi??
Thou nimeshajua unataka kuplay kwenye Deck DVD au kwenye Gari
 
Nataka ya kuplay kwenye DVD deck za kawaida
 
Unaweza nisaidia jina la video converter app nzuri mkuu
Cheki hizi hapo playstore
88ec592398ee1e1da96702c403ab2cc2.jpg
3459100a5a989e989a1bffa0e2e949ad.jpg
 
Back
Top Bottom