Android to windows

Android to windows

Pro Mwl

Senior Member
Joined
Jul 19, 2014
Posts
197
Reaction score
38
Mwenye ujuzi wa kuiondoa android os na kuweka windows os
Ashushe maujanja
 
Aya ngoja waje ila uwe mvumilvu maana mada pendwa sku hz n za mapnz na kutiana genye
 
Haiwezekani
inawezekaa kwa simu kama xiaomi microsoft wameiport windows 10 mobile ifanye kazi katika cm za xiaomi
pia unaweza install windows xp kwenye cm yako yenye yoyote yenye android ila ni kama kujifurahiha tu.
 
Mkuu inawezekana buana. Ngoja tusubir wataalam waje kutupatia ujuzi
Sawa labda kama imeanza mwaka huu
inawezekaa kwa simu kama xiaomi microsoft wameiport windows 10 mobile ifanye kazi katika cm za xiaomi
pia unaweza install windows xp kwenye cm yako yenye yoyote yenye android ila ni kama kujifurahiha tu.
Hii labda imeanza mwaka huu...lakini kwa hizi tecno huawei samsung lg htc mmmh sidhani
 
cheki video hapo[emoji121]️[emoji121]️
Ukishindwa hapo basi kanunue tu dukani

Great mkuu. It works for windows xp with limbo emulator. Na tutorial nyingi zinaonyesha win xp i tried windows 8, 8.1, 10 zote zinashindwa.

Can you post video for change my software 8.1 or 10?

Thnx for for reply.
 
mkuu sheria ya emulation lazima kifaa unachotumia kiwe na nguvu mara 10 ya kifaa unacho ki emulate, usitegemee ku emulate windows 10 na android, hio xp yenyewe utafanya mambo machache sana huwezi fanya chochote cha maana.

subiria MS akitoa windows on Arm ndio simu zitaweza kurun windows.
 
Haahaaha thnx chief
 
b620d53a40872122c31032bce862d600.jpg

Me nimejaribu kuweka window xp kwenye cm kwa kutumia limbo nimebataisha lakini imeishia hapa inachukua mda ili kuingia ndani zaidi kuweza kuboot
 
Back
Top Bottom