Msaada games kudownload kwa pc | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada games kudownload kwa pc

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by oxlade, Aug 16, 2012.

 1. oxlade

  oxlade JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 596
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  jamani naomba mnipe msaada wa namna ya kudownload games haswa GTA na FIFA, nimejaribu kwa torrent nimeshndwa, natumia window xp, 2.99 processor, 1gb ram
  au kama kuna msamalia mwema anaweza kunipatia hzo game aniambie nimfate kokote jamani.
  Help me wandugu.
   
 2. leh

  leh JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  a.town kama upo mi nitakupa pc games. na sijaelewa umeshindwa kudownload kwa torrents kwa nini, be a bit more elaborate
   
 3. July Fourth

  July Fourth JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 2,288
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  Nenda google, sachi kat.ph
  then utayaona udownload
   
 4. oxlade

  oxlade JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 596
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  ndo hyo nlokuwa najaribu kudonload mkuu, inanigomea, cjui nfanyaje.
   
 5. July Fourth

  July Fourth JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 2,288
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  inakupa ujumbe gani??
   
 6. P

  Paul S.S Verified User

  #6
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Umeinstall torrent clients kwa pc yako?

  Ili kudownload torrents unahitajika kudownload na kuinstall torrent clients kama utorrent, then unapofungua torents site na kubofya download, torrent client inadaka na kuanza kushusha mzigo

  Wewe unakwama wapi haswa?
  Kama pengine huna bundle ya kutosha kudownload haya mavitu ongea vizuri tu na wadau humu, mtakutana na watakupa magemu hadi ukose pa kuyaweka
   
 7. oxlade

  oxlade JF-Expert Member

  #7
  Aug 17, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 596
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  poa mkuu shukran sana
   
 8. m

  mkali mimi Member

  #8
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wakuu nlkua nadownload game hapa NFS thn nashindwa kuliinstall cz file lina .rar extension. nmekwama hapo. msaada mjuzi.
   
 9. Shaffin Simbamwene

  Shaffin Simbamwene Verified User

  #9
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 16, 2008
  Messages: 1,155
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Google winrar then uinstall hiyo soft afu uextract file la hiyo game yako kwa kutumia winrar
   
 10. m

  mkali mimi Member

  #10
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  thanks
   
 11. g da sparta

  g da sparta Member

  #11
  Aug 28, 2015
  Joined: Aug 12, 2015
  Messages: 91
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Msaada jinsi ya kuinstall fifa 12 kwenye pc kutoka uttorent nimedownload kila kitu ambacho game hii inataka kama vile powerIso winralzip,lakin kila nkitaka kuinstall inaniambia inataka next disc!! Computer yangu ni hp natumia windows7 professiona 32 bit, Naombeni ushaul kwa wataalamu wa mambo haya
   
 12. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #12
  Aug 28, 2015
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,776
  Likes Received: 7,094
  Trophy Points: 280
  Hapo kutakua kuna iso zaidi ya moja.

  Mount iso ya kwanza then install ikiwambia next cd mount iso ya pili itaendelea kuinstall, ikisema tena next cd mount iso ya tatu. Endelea hivyo hadi mwisho litaingia
   
 13. Shaffin Simbamwene

  Shaffin Simbamwene Verified User

  #13
  Aug 28, 2015
  Joined: Nov 16, 2008
  Messages: 1,155
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Inawezekana umedownload parts ya hilo game so wahitajika kupakua kipande kilichobaki
   
 14. g da sparta

  g da sparta Member

  #14
  Aug 28, 2015
  Joined: Aug 12, 2015
  Messages: 91
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Asante mkuu ngoja nifanye kama ulivosema!!!!mi nli mount iso moja 2... thnx much kaka
   
 15. g da sparta

  g da sparta Member

  #15
  Aug 28, 2015
  Joined: Aug 12, 2015
  Messages: 91
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Kabla cjadownload nliangalia video moja youtube iliyonielekeza jinsi ya kuinstall! Ukitumia torrent kudownload fifa 12 inaonesha ina GB6.79 arafu. Kunakuwa na part tatu!!!na mimi. Nimedownload zote complete nika extract zikaja setup zake kila nkijaribu kuinstall inaniambia next disk cjajua tatizo liko wap!!!
   
 16. Shaffin Simbamwene

  Shaffin Simbamwene Verified User

  #16
  Aug 28, 2015
  Joined: Nov 16, 2008
  Messages: 1,155
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  fuata maelekezo ya chief-mkwawa
   
 17. ze kokuyo

  ze kokuyo JF-Expert Member

  #17
  Aug 29, 2015
  Joined: Jan 24, 2014
  Messages: 4,605
  Likes Received: 4,732
  Trophy Points: 280
  Naweza kuipata game ya WAR THUNDER kweny torrent?
   
 18. Smokey D

  Smokey D JF-Expert Member

  #18
  Aug 29, 2015
  Joined: Jan 30, 2013
  Messages: 2,350
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Hauna uwelewa wa torrentso simple kutumia ni kama kucopy na kupaste...Unataka GTA gani kama ni GTA V Pc yako haiwezi kurun Hilo game hata Fifa 15..1GB Ram ongeza mpaka 4Gb mkuu lakini hapo bado Kwa GTA V weka 8Gb na 3.6-4Ghz + 65GB Free
  Hata kama utapewa au ununue litakusumbua tu:A S shade:
   
 19. Smokey D

  Smokey D JF-Expert Member

  #19
  Aug 29, 2015
  Joined: Jan 30, 2013
  Messages: 2,350
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Pirates Forever Kila kitu ndugu but kuwa mwangalifu some torrent zina virus,Trojan
   
 20. ze kokuyo

  ze kokuyo JF-Expert Member

  #20
  Aug 30, 2015
  Joined: Jan 24, 2014
  Messages: 4,605
  Likes Received: 4,732
  Trophy Points: 280
  but antvirus si zinasaidia au?!
   
Loading...