Msaada:anayefahamu Selcom machine(faida&hasara)

The Dude

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
1,029
453
Habari zenyu wadau!!
Naombeni mwenye ufahamu kuhusu ubora na ufanisi wa huduma za selcom anijuze..

Naskia ukiwa na machine ya hawa selcom,kama max malipo,unarusha vocha mitandao yote,unauza luku,dstv,star times,unalipa bili za dawasco etc..

Niliposhawishika kununua ni pale nlipoambiwa sku hizi pia wana huduma za mobile money ie tigo pesa etc

Lakini kuna claims pia hiki kifaa kiko so innefficient unaweza piga loss mpk ukajuta..
Sasa,mwenye ufahamu kuhusu utendaji kazi wake naomba anijuze zaidi faida na hasara za hiki kifaa,kabla wengi wetu hatujafanya maamuzi magumu ya kujiajiri!
 
Watu walipita kama vile hawaioni hii thread..

Wakuu hii machine unaweza kuinunua ikawa mbadala wa akaunti ya bank? Msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom