Naweza pata wapi blackberry bold 9930 au 9900

Naweza pata wapi blackberry bold 9930 au 9900

Kaparo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2013
Posts
2,280
Reaction score
5,499
Habari Jf member,
Napenda kuuliza ni wapi ntapata simu aina za blackberry bold 9930 au 9900 kwasasa nipo Tanga. Naomba mnijuze bei ya kuanzia au mahala zinapopatikana kwani naweza sogea Arusha au Dar kwaajili ya simu tajwa.
NINAHITAJI MPYA.
Kuhusu suala la kuto-support whatsApp na blah blah zingine nimejiandaa katika hilo. Sana nachohitaji ni simu.

images%283%29.jpeg
images%282%29.jpeg
 
Habari Jf member,
Napenda kuuliza ni wapi ntapata simu aina zView attachment 537414View attachment 537415a blackberry bold 9930 au 9900 kwasasa nipo Tanga. Naomba mnijuze bei ya kuanzia au mahala zinapopatikana kwani naweza sogea Arusha au Dar kwaajili ya simu tajwa.
NINAHITAJI MPYA.
Kuhusu suala la kuto-support whatsApp na blah blah zingine nimejiandaa katika hilo. Sana nachohitaji ni simu.

Unataka ngapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom