Sony xperia Z1 vs Sumsung galaxy s8

Sony xperia Z1 vs Sumsung galaxy s8

Joined
Jan 29, 2017
Posts
61
Reaction score
66
Wajuzi wasimu wanisaidie ipi ni simu bomba kwa matumizi na imara zaidi kati ya sony xperia z1 na sumsung garaxy s8
......... Msaada tafadhali........
de035a4ade98ad13577c5462430fdfb4.jpg
813a0b5014cb219862e88b6a2d63121f.jpg


Sent from my C6903 using JamiiForums mobile app
 
chukua samsung s8 mkuu iyo sony ya kitambo sana cjui hata kama inaweza ku upgrade system os to nougat
 
Hahahaaa unafanya masikahara na S8! Uliza kati ya s8+ na i phone 7 ipi kali watu ndo wanaweza kuanza kuhangaika kutambua ipi kubwa!
 
Back
Top Bottom