Mr Suprize
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 858
- 937
Wakuu nataka niroot hii simu ya kampuni ya vodacom ambayo naitumia kwa ajili ya kukamilisha usajili Wa line zao, maana android zote zinazopita mikononi mwangu lazima nipige root ndo nitumie. Vipi ni mbaya nikifanya hivyo maana simu ipo chini ya kampuni?